Make your own free website on Tripod.com
[1] Chukua picha mbili na songa kifungoni cha mouse juu ya picha hizo kubadiliana. Fanya hivyo tena ili kukamilisha ramani ya Ujapani. Baadaye songa "simamisha".
Choose two pictures and press mouse button on them to exchange. Repeat it until you complete the map of Japan. Press "check" after that.
30 kwa swali hili/30 points for this question [30]

[2] Chukua neno ili kuunda sentensi kamili kulingana na maana ionyeshwayo..
Choose a word to complete the sentence according to the meaning.
10 kwa swali moja/10 points for each [20]

(1) Jun, habari ya asubuhi? / Jun, good morning.
    Jun, .
(2) Leo ni Ijumaa. / Today is Friday.
    Kyouha desu.

[3] Songa herufi za Kijapani na jinfunza utaratibu wa kuandikia zile. Tamka herufi hiyo hiyo na onyesha tamko lake.
Click each Japanese character and learn how to write. Pronounce each letter and show how you pronounce.
10 kwa swali moja/10 points for each [20]

Tamko la herufi hii ni/Pronunciation of this character is:
   [ /no/    /o/    /a/    /sa/ ]

Tamko la herufi hii ni/Pronunciation of this character is:
   [ /e/    /sa/    /shi/    /ki/ ]


[4] Kwanza, songa sanduku tupu katika maneno. Baadaye songa mojawapo ya herufi chini ili kuunda maneno mawili ya kulingana na picha zile.
First click the blank box in the crosswords. Then click one of the characters below to make the crosswords complete and fit to the pictures.
10 kwa swali moja/10 points for each [30]
(1)(2)(3)Songa herufi./Click character.

© programu andikwa na NH, Disemba 1997 / program written by NH, December 1997